Description
NAFASI ZA KAZI SPEEDWAY PETROL STATION – ARUSHA
Speedway Petrol Station iliyoko eneo la Mworomboo Arusha, inapenda kutangaza nafasi kumi za Pump attendant. Kwa wale wote wenye uwezo wa nafasi hiyo, wanaweza kuwasiliana na namba tajwa hapo chini, ama kutuma maombi kwa nafasi hizo kwa njia ya barua pepe (E-Mail). Umri wa muombaji ni kuanzia miaka 20-40 na jinsia yoyote. Kiwango cha elimu ni kuanzia darasa la 7 mpaka kidato cha 6.
Tangazo hili ni kuanzia leo tarehe 3/May/2021, mpaka tarehe 15/May/2021.
Telephone Number: 0754317428/0683508719
E-mail: md.speedwayps@gmail.com