Ticker

Welcome

Nafasi 473 za kazi wizara ya Afya | 473 Job Vacancies at the Ministry of Health Tanzania

Overview:

The President of the United Republic of Tanzania issued a Notice on assignment of Ministerial responsibilities (Instrument) vide Government Notice No.144 of 22nd April, 2016. In that Instrument, the President has created a Ministry of Health,Community Development, Gender, Elderly and Children which is mandated for formulation of the following below things for the development of Tanzania:-

(a) Policies on Health, Community Development, the Elderly Children and Gender and their implementation.

(b) Preventive and Curative Services.

(c) Chemical Management Services.

(d) Medical Laboratory Services.

(e) Medical Research and Nutrition.

(f) Food and Drug Quality Services.

(g) Medical Supplies.

(h) Promotion of Traditional and Alternative Medicine.

(i) Health Services Inspection.

(j) Family Planning.

(k) International Health and Medical Organizations.

(l) Coordination of NGO dealing with the functions under this sector.

(m) Coordination of International Organization under this sector.

(n) Performance Improvement and Development of Human Resource Service and their Implementation under this ministry.

(o) Extra-Ministerial Departments, Pastoral Organization and Projects under this ministry.

Ministry of Health, Community Development, Gender, Elderly and Children (MoHCDEC) Ministry of Health, Community Development, Gender, Elderly and Children (MoHCDEC) Jobs in Tanzania: The Ministry of Health and Social Welfare was a government ministry of Tanzania. Its central offices are located in Dar es Salaam. Its mission “facilitate the provision of basic health services that are good, quality, equitable, accessible, affordable, sustainable and gender sensitive”.

Dodoma, Jumatano Mei 12, 2021.  

Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto (WAMJW), imepata kibali cha ajira 547 kutoka Ofisi ya Rais – UTUMISHI za Wataalamu wa kada mbalimbali za Afya wanaokidhi vigezo vya kuaajiriwa chini ya Wizara ya Afya na Taasisi zake.  

Huu ni utekelezaji wa ahadi iliyotolewa na Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mama Samia Suluhu Hassan.  

Ajira 547 inajumulisha nafasi 473 ambazo zitaratibiwa na WAMJW wakati nafasi 74 zitakaratibiwa na Sekretariati ya ajira. Wataalamu 74 wa kada mbalimbali wataajiriwa katika Maabara Kuu ya Taifa; na wataalamu 473 wa kada mbalimbali wataajiriwa katika Hospitali za Kanda za KCMC, Mbeya, Bugando na Benjamini Mkapa, Hospitali za Rufaa za Mikoa na  vyuo mbalimbali vilivyopo chini ya WAMJW. 

Watalaamu 473 chini ya uratibu wa WAMJW ambao watanufaika na nafasi hizi ni pamoja na; Madaktari wauguzi, Wafamasia, Wateknolojia wa Dawa, Wateknolojia wa Maabara, Wateknolojia wa Mionzi, Wateknolojia wa Macho, Watoa Tiba kwa Vitendo, Maafisa Afya Mazingira, Wasaidizi wa
Afya, Makatibu Afya, Maafisa Ustawi wa Jamii na Maafisa Lishe.  

Ajira hizo (473) zitajaza nafasi zilizoachwa wazi na watumishi waliokoma utumishi kutokana na sababu mbalimbali. Waombaji wanasisitizwa kuzingatia maelekezo yote yatakayotolewa na vyanzo rasmi vya taarifa za ajira na utaratibu kupitia tovuti www.moh.go.tz kwa kiunganishi (ajira.moh.go.tz). 
Maombi ni kuanzia tarehe 12 hadi 25 Mei, 2021. 

DOWNLOAD PDF FILE HERE

CLICK HERE TO START APPLICATION

 

 Click Here to Join us on Telegram for Instant Job Updates.