Description
NAFASI ZA KAZI SPEEDWAY PETROL STATION – ARUSHA
Speedway Petrol Station iliyoko eneo la Mworomboo Arusha, inapenda kuwatangazia nafasi za kazi zifuatazo:
- Mechanical Engineer– anatakiwa fundi mzuri wa magari aina ya Scania. Awe na uzoefu usiopungua miaka miwili. Umri kuanzia miaka 25 na kuendelea.
- Welder-anatakiwa fundi mzuri wa kuchomelea. Awe na uzoefu usiopungua miaka miwili. Umri kuanzia miaka 20 na kuendelea.
- Painter– Anatakiwa fundi mzuri wa kupiga rangi magari. Awe na uzoefu usiopungua miaka miwili. Umri miaka 20 na kuendelea.
- HUMAN RESOURCE MANAGER (HR) – Anatakiwa afisa uajiri mwenye uzoefu usiopungua miaka miwili. Kiwango cha elimu ni kunzia ngazi ya Diploma na kuendelea. Umri usiopungua miaka 25 na kuendelea.
- ACCOUNTANT (MUHASIBU) – Anatakiwa muhasibu mwenye uzoefu usiopungua miaka miwili, na awe anajua kutumia computer, afahamu kutumia program ya Quickbooks.
Tangazo hili ni kuanzia leo Tarehe 7/May/2021 mpaka tarehe 15/May/2021.
Iwapo una sifa stahiki kwenye nafasi zilizotajwa hapo juu, tafadhali wasiliana na namba za simu, ama barua pepe zilizo hapo chini.
Telephone Numbers: 0754-317428/ 0694-308947/ 0683508719
E-mail: md.speedwayps@gmail.com