Ticker

Welcome

TANGAZO LA NAFASI YA KAZI / AJIRA KUTOKA OASIS HEALTH POLYCLINIC : ASSISTANT ACCOUNTANT

 

TANGAZO LA NAFASI YA  KAZI / AJIRA KUTOKA OASIS HEALTH POLYCLINIC : ANAJITAJIKA - ASSISTANT ACCOUNTANT JIJINI DAR ES SALAAM, TANZANIA.

TANGAZO LA KAZI - OASIS HEALTH POLYCLINIC


Kijana  usikose kuomba nafasi hii ya kazi.

Anahitajika  Assistant Accountant! Awe na ufahamu wa kutumia quickbooks
na vinginevyo ,vinavyohusika  na accounts and finance.


Jinsi ya Kutuma Maombi:

-Maombi yafanywe  kupitia adeline@oasishealth.co.tz

yawe yameambatanishwa na:

  • vyeti, 
  • kitambulisho Cha NIDA.


Deadline 15 January 2022

Siku za kazi:

JUMATATU - IJUMAA Saa 2.00 Asubuhi - 1.00 Jioni
JUMAMOSI - Saa 3.00 Asubuhi  -100 Usiku
JUMAPILI/ SIKUKUU - Saa 3.00 Asubuhi - 9.00 Alasiri

Improving healthcare Changing lives.

Also View: Other Accounts & Finance Jobs Here

Have a look at  Other Jobs in Dar es Salaam Here