POST MSANIFU MAJENGO DARAJA II – 1 POST
POST CATEGORY(S) CREATIVE AND DESIGN
EMPLOYER Halmashauri ya Wilaya ya Pangani
APPLICATION TIMELINE: 2021-05-07 2021-05-19
JOB SUMMARY NA
DUTIES AND RESPONSIBILITIES
i. Kufanya kazi chini ya uangalizi wa Msanifu Majengo aliyesajiliwa na
Bodi ya Usajili husika kama “Professional Architect” ili kupata uzoefu
unaotakiwa;
ii. Kufanya kazi kwa vitendo katika fani zinazomhusu ili kumwezesha kupata sifa za kutosha kusajiriwa na Bodi ya Usajili inayowahusu Wasanifu Majengo;
iii.Kufuatilia upatikanaji wa taarifa na taaluma za Usanifu wa Majengo;
iv.Kupitia mapendekezo ya miradi (project proposals) mbalimbali za majengo yanayowasilishwa Wizarani;
QUALIFICATION AND EXPERIENCE
Kuajiriwa mwenye Shahada/Stashahada ya juu ya Usanifu Majengo (Architect) kutoka Vyuo Vikuu vinavyotambuliwa na Serikali.
REMUNERATION TGS E.
The deadline for submitting the application is 19 May 2021.