FUNDI SANIFU DARAJA LA II (MITAMBO - AUTOMOBILE) - 22 POST
POST | FUNDI SANIFU DARAJA LA II (MITAMBO - AUTOMOBILE) - 22 POST |
POST CATEGORY(S) | ENGINEERING AND CONSTRUCTION |
EMPLOYER | Tanzania Electrical,Mechanical and Electronics Services Agency (TEMESA) |
APPLICATION TIMELINE: |
2021-06-17 2021-07-01 |
JOB SUMMARY | NA |
DUTIES AND RESPONSIBILITIES | i. Kufanya matengenezo madogo na makubwa ya magari na mitambo; ii. Kuhakikisha usalama kwa watumishi na mali wakati wote wa utendaji kazi; iii. Kuhifadhi na Kutunza vifaa anavyofanyia kazi; iv. Kuhakikisha vifaa vya karakana na mazingira yake ni safi wakati wote; v. Kufanya uchunguzi, kubaini, kuandaa gharama na kurekebisha matatizo ya magari na vi. Kufanya kazi atakazopangiwa na Mkuu wake wa kazi. |
QUALIFICATION AND EXPERIENCE | • Awe
na elimu ya kidato cha sita na kuhitimu kozi ya ufundi ya miaka miwili
katika fani ya Ufundi Magari/Mitambo kutoka chuo kinachotambuliwa na
Serikali, au • Awe na elimu ya kidato cha nne na kufuzu kozi ya
miaka mitatu katika fani ya Ufundi Magari/Mitambo kutoka chuo
kinachotambuliwa na Serikali, au • Awe na elimu ya kidato cha nne
na Cheti cha Majaribio ya Ufundi Stadi Hatua ya I (Trade Test I) fani ya
ufundi Magari/Mitambo kutoka chuo kinachotambuliwa na Serikali; •
Awe na uzoefu usiopungua miaka mitatu (3) wa kufanya matengenezo ya
magari madogo na makubwa /mitambo kwenye karakana /gereji iliyosajiliwa; • Awe mchapakazi, anayejiamini na mwenye uwezo wa kufanya kazi bila kusimamiwa; • Mwenye uzoefu kwenye matengenezo ya magari /mitambo ya kisasa atapewa kipaumbele; na • Uwezo wa kutumia “Auto Diagnostic Machine”. |
REMUNERATION | TGS C |
CLICK HERE TO APPLY NOW
Click Here to Join us on Telegram for Instant Job Updates.