Ticker

Welcome

4 Job Vacancies at Tanzania Electrical,Mechanical and Electronics Services Agency (TEMESA) - Fundi Sanifu Msaidizi (Auto Electric)

 


FUNDI SANIFU MSAIDIZI (AUTO ELECTRIC) - 4 POST

POSTFUNDI SANIFU MSAIDIZI (AUTO ELECTRIC) - 4 POST
POST CATEGORY(S)ENGINEERING AND CONSTRUCTION
EMPLOYERTanzania Electrical,Mechanical and Electronics Services Agency (TEMESA)
APPLICATION TIMELINE: 2021-06-17 2021-07-01
JOB SUMMARYNA
DUTIES AND RESPONSIBILITIES

i.    Kuchunguza na kubaini matatizo ya mifumo ya umeme na elektroniki kwenye magari/mitambo na kuyatatua;
ii.    Kufanya matengenezo ya vifaa vya umeme/elektroniki
kwenye magari/mitambo;  
iii.    Kuhakikisha usalama kwa watumishi na mali wakati wote wa utendaji kazi;
iv.    Kuhifadhi na Kutunza vifaa anavyofanyia kazi;
v.    Kufanya usafi wa eneo la kazi na mazingira yake;
vi.    Kufanya kazi atakazopangiwa na Mkuu wake wa kazi;

QUALIFICATION AND EXPERIENCE

•    Awe na elimu ya kidato cha nne katika masomo ya sayansi na kufuzu masomo ya mwaka mmoja katika fani ya ufundi “Auto Electric” kutoka vyuo vya ufundi vinavyotambuliwa na Serikali. au
•    Awe na elimu ya kidato cha nne mwenye cheti cha majaribio ya ufundi hatua ya II kutoka chuo cha ufundi kinachotambuliwa na Serikali katika fani ya “Auto Electric” na
•    Uwezo wa kutumia “Auto Diagnostic Machine.

REMUNERATION TGOS A


CLICK HERE TO APPLY NOW

 Click Here to Join us on Telegram for Instant Job Updates.