Imara Tech’s vision is to bring prosperity, resilience, and sustainability to every farm in Africa. Our mission is to enrich the lives of smallholder farmers by empowering communities with locally made, productive-use technologies.
Structure
Imara Technology Company Ltd is a Limited Liability Company incorporated in the United Republic of Tanzania. As a social enterprise, we reinvest a majority of our profits in order to create financially sustainable, scalable impact.
Job Opportunity at ImaraTech / Nafasi ya Kazi ImaraTech
Tunatafuta Mtangazi wa vipindi vifupi vifupi kwaaajili ya Matangazo ya Bidhaa zetu.
Sifa:
• Awe Mtanzania
• Awe Msichana
• Miyaka isizidi 30
• Aweze Kuishi Arusha
• Awe na uwezo wa kusafiri maeneno kama (Manyara, Kilimanjaro, Kigoma)
• Awe na uzoefu hata kidogo, kukaa mbele ya camera
• Mwenye Elimu ya Uandishi wa habari ataangaliwa zaidi
Tuma maombi yako Ikiwa ni CV, Picha na Cover latter kwa Marketing Manager Ikram Poppe ikram.poppe@imaratech.co 0679 339 580
Mwisho wa Kutuma Maombi ni: 10.07.2021
Also View : Other Journalism & Media Jobs Here