NAFASI ZA KAZI | FURSA ZA AJIRA
TANGAZO LA FURSA / NAFASI YA KAZI
Recommended for you: Get the Latest & New Job Updates Here
POST | FUNDI SANIFU (KILIMO) DARAJA LA II - 1 POST |
POST CATEGORY(S) | ENGINEERING AND CONSTRUCTION |
EMPLOYER | Halmashauri ya Wilaya ya Mtwara |
APPLICATION TIMELINE: | 2022-02-09 2022-02-22 |
JOB SUMMARY | NA |
DUTIES AND RESPONSIBILITIES | i.Kutoa ushauri kwa wakulima kuhusu matumizi bora ya zana za kilimo kwa vitendo. ii.Kuwafundisha wakulima kutengeneza na kufanya matengenezo ya zana za kilimo. iii.Kuendeleza kilimo cha zana iv. Kukusanya na kutunza takwimu za zana za kilimo. v.Kukusanya na kutunza takwimu za kilimo cha umwagiliaji. vi.Kusaidia katika ujenzi wa mifereji ya umwagiliaji vii.Kushiriki katika savei kwa ajili ya kilimo cha umwagiliaji. viii.Kushiriki katika ujenzi wa malambo madogo. ix. Kufanya kazi nyingine atakazopangiwa na Mkuu wake wa kazi.
|
QUALIFICATION AND EXPERIENCE | Kuajiriwa waliofuzu mafunzo ya miaka miwili ya Stashahada ya ufundi sanifu wa vyombo vya kilimo au ufundi sanifu umwagiliaji maji.
|
REMUNERATION | TGSC |
Recommended for you: Get the Latest & New Job Updates Here
Also Browse : Other Technical & Engineering Jobs Here
Explore Other Jobs in Mtwara Region