PRIMEFUELS


TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI (MADEREVA WA MAGARI  MAKUBWA).

PRIMEFUELS TANZANIA limited ni Kampuni inayohusika na usafirishajl wa Mizigo tofauti yenye asili ya vimiminika (fluids) na mali yabisi (dry cargo).

PRIMEFUELS TANZANIA  Limited  inahitaji  madereva wenye WELEDI, UZOEFU NA UADILIFU wa hall ya juu usiotiliwa shaka na mtu au taasisi yoyote ndani  na nje ya nchi.


Waombajl wa nafasi ya hizi wanatakiwa kuwa na vigezo vifutavyo wakizingatia vigezo vikuu vitatu

vilivyotajwa hapo juu;


»  Umri usiopungua miaka 25 na usiozidi miaka 45.

»  Elimu ya kidato cha nne  na kuendelea.

»  Afya inayastahimili safari za nje na ndani ya nchi.

»  uwezo wa kusoma na kuandika lugha ya kiingereza na Kiswahili fasaha.

»  Uzouefu wa kuendesha magari makubwa  usiopungua miaka  mitano.

»  Ujuzi  na  uzoefu wa kuendesha gari za kusafirisha Mafuta (Tankers).

»  Leseni ya Udereva yenye sifa ya kuendesha  magari makubwa.

»  Nyaraka za kusafiria (Passport).

»  Nakala ya Kitambulisho cha Talfa (NIDA).

»  Picha 3 za rangi (Passport size Photos).

»  Barua ya wadhamini wawili zenye picha zao na anuani ya makazi.

»  Barua ya serikali ya mtaa unaoishi ikiwa na namba ya simu ya kiongozl wa serikall ya mtaa aliyekupa barua hiyo.


MAOMBI YOTE YALETWE OFISINI KWETU KUANZIA TAREHE 14-02-2024 KWA NJIA YA MKONO  NA KUKABIDHIWA KWA WALINZI WETU,  NA KUJAZA  KWENYE KITABU MAALUMU. OFISI ZETU ZIPO KIPAWA, KIWANJA NAMBA  139, NYERERE ROAD, MKABALA NA UWANJA WA NDEGE


MAOMBI YOTE YAELEKEZWE KWA

MENEJA- RASILIMALI WATU

PRIMEFUELS TANZANIA LIMITED

5.L P. 2873,  DAR ES SALAAM                                                      


MWISHO WAKUPOKEA MAOMBI  NI TAREHE 22-02-2024

Zingatia Muhimu;


1. Watakaochaguliwa watapigiwa simu na ofisi kwa mchakato zaidi

2. Epuka  kutapellwa fedha au kitu chochote cha thamani kwa ahadi ya kupata upendeleo wa ajira ndani ya   primefuels.


TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI (MADEREVA WA MAGARI  MAKUBWA) - PRIEMEFUELS
TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI (MADEREVA WA MAGARI  MAKUBWA) - PRIEMEFUELS