POST | MLEZI WA WATOTO MSAIDIZI - 1 POST |
POST CATEGORY(S) | EDUCATION AND TRAINING |
EMPLOYER | Ministry Of Health (MOH) |
APPLICATION TIMELINE: | 2021-06-17 2021-07-01 |
JOB SUMMARY | i. Kulea watoto katika vituo vya malezi ya awali ya watoto wadogo mchana; ii. Kutoa mafunzo kwa akina mama juu ya malezi bora ya awali ya watoto wadogo wenye umri wa miaka 0-8; iii. Kusaidia shughuli za kinga za magonjwa ya watoto vijijini/sehemu au eneo la kituo na iv. Kuwa kiongozi wa kituo cha malezi ya awali ya watoto wadogo. |
DUTIES AND RESPONSIBILITIES | i. Kulea watoto katika vituo vya malezi ya awali ya watoto wadogo mchana; |
QUALIFICATION AND EXPERIENCE | • Kuajiriwa wahitimu wa kidato cha nne waliofaulu mafunzo ya mwaka mmoja ya malezi ya awali ya watoto wadogo wenye umri kati ya miaka 0 hadi 8 kutoka Chuo kinachotambulika na Serikali au wenye Cheti cha mwaka mmoja cha mafunzo ya Ustawa wa Jamii. |
REMUNERATION | TGS B |
Click Here to Join us on Telegram for Instant Job Updates