Tangazo la Fursa Za Ajira / Nafasi za Kazi Tatu - kutoka Halmashauri ya Wilaya ya Mbulu
TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbulu anakaribisha maombi ya kazi kwa nafasi zifuatazo:•
1.1 MTENDAJI WA KIJIJI III - NAFASI 02
1.1.1 SIFA ZA MWOMBAJI
Kuajiriwa wenye Elimu ya Kidato cha Nne (IV) AU Sita (VI) aliyehitimu mafunzo ya Astashahada/Cheti katika moja ya fani zifuatazo Utawala, Sheria, Elimu ya jamii (Sociology). Usimamizi wa Fedha, Maendeleo ya Jamii na Sayanst ya Sanaa kutoka Chuo cha Serikali za Mitaa Hombolo, Dodoma au Chuo chochote kinachotambuliwa na Serikali
Recommended for you: Get New Job Updates Here
1.1.2 MAJUKUMU YA KAZI.
• Afisa Masuuli na Mtendaji Mkuu wa Serikali ya Kijiji
• Kusimamia Ulinzi na Usalama wa raia na mali zao, kuwa Mlinzi wa Amani na Msimamizi
• wa Utawala Bora katika Kijiji
• Kuratibu na kusimamia upangaji wa utekelezaji wa Mipango ya Maendeleo ya Kyijt
• Katibu wa Mikutano na Kamati zote za Halmashauri ya Kijiji
• Kutafsiri na kusimama utekelezaji wa Sera, Sheria. Kanuni, Taratibu na Miongozo ya
• Serikali katika Kijiji
• Kuandaa Taarifa za Utekelezaji wa kazi katika eneo lake na kuhamasisha wanancht katika
• kuandaa na kutekeleza mikakati ya kuondoa njaa, umaskini na kuongeza uzalishaji mali,
• Kiongozi wa Wakuu wa Vitengo vya Kitaalam katika Kijijji
• Kusimamia, kukusanya na kuhifadhi kumbukumbu zote na Nyaraka za Kiii
• Mwenyekiti wa Kikao cha Vataalamu waliopo katika Kijiji
• Kupokea, kusikliza na kutatua matatzo/malalamiko na migogoro ya Wananch katika Kijiji
• Kusimamia Utungaji wa Sheria Ndogo za Kijiji, na
• Atawajibka kwa Mtendaji wa Kata
Recommended for you: Get New Job Updates Here
1.1.3 MSHAHARA
Kwa kuzigata Ngazi za mshahara ya Serikali yaami TGS E kwa mwezi
2.0. KATIBU MUHTASI III --NAF ASI 01
2.1.1 SIFA ZA MW OMBAJI
Kuajiriwa wenye Elimu ya Kidato cha Nne (IV) AU Srta (VI) na waliohudhuria mafunzo ya Uhazili ngazi ya cheti cha miaka miwili (NTA LEVEL 5) na kufaulu Mtihani wa Hatua ya Tatu. Wawe wamefaulu soma la Hatimkato ya Kiswahili na Kingereza maneno 80 kwa dakika moja na wawe wamepata mafunzo ya Kompyuta kutoka chuo chochote inachotambuliwa na Serikali na kupata cheti katika programu za Windows, Microsoft Office, Internet, Email na Publisher.
2.1.2 MAJUKUMU YA KAZI.
• Kuchapa barua, taarifa na nyaraka za kawaida
• Kusaidia kupokea wageni na kuwasaili shrda zao na kuwaelekeza sehemu wanapoweza kushughulikiwa
• Kusaidia kutunza taarifa/kumbukumbu za matukio,wageni, tarehe za vikao.safari za Mkuu wake na ratiba za kaz nyingine zilizopangwa kutekelezwa katika Ofis anamofanyia kazi.
• Kusardia kutafuta na kumpatia Mkuu wake majalada,nyaraka au kitu chochote kinachohitajika katika shughuli za hapo Ofisini.
• Kusardia kufikisha maelekezo ya Mkuu wake wa kazi kwa wasadizi wake na pia kumuarifu kuhusu taarifa zozote anazokuwa amepewa na wasaidizi ha0
• Kusardia kupokea majalada, kuyagawa kwa maofisa walio katika sehemu alrpo na kuyakusanya, kuyatunza na kuyarudisha sehemu zinazohusika
• Kutekeleza kazi zozote atakazokuwa amepangiwa na msimamizi wake wa kazi
2.1.3 MSHAHARA
Kwa kuzingatia Ngazi za mishahara ya Serikali yaani TGS B kwa mwezi
NB: MASHARITI YA JUMLA.
• Mwombaji awe Raia wa Tanzania na awe tayari kufanya kazi sehemu yoyote kwenye
Halmashauri ya Wilaya ya Mbulu
• Mwombaji awe na umri usiozidi miaka 45 na awe hajawah kupatikana na kosa la jinal au kufungwa jela
• Waombaji waambatishe maelezo binafsi yanayojitosheleza (Detailed C.V)
• Maombi yote yaambatane na nakala za vyeti vya taaluma. vyeti vya elimu (IV au Vl) cheti cha kuzaliwa na picha mbili za rangi za hivi karibuni (Passport Size) na 1andikwe jina nyuma
• Testmonials", "Provisional Results", "Statement of results", hati matokeo za
kidato cha nne na sita (FORM IV AND FORM VI RESULTS SLIPS} HAVITAKUBALIWA.
• Waombaji waliosoma nje ya Tanzania wahakikishe vyet vyao vimehakikiwa na
kudhinishwa na Mamlaka husika (TCU na NECTA)
• Waombaji waliostaafishwa katika Utumishi wa Umma hawaruhusiwi kuomba isipokuwa kama wanakibali cha Katibu Mkuu Kiongozi
• Uwasilishaji wa taarifa na sifa za kugushi wahusika watachukuliwa hatua za kisheria.
• Mwisho wa kupokea barua za maombi ni tarehe 03/02/2022 Saa 9.30 Alasiri.
• Maombi yaandikwe kwa mkono na mwombaji mwenyewe na yatumwe kupitia posta kwa anuani ifuatayo:-
MKURUGENZI MTENDAJI (W), HALMASHAURI YA WILAYA YA MBULU, S.LP. 74,
MBULU.
Recommended for you: Get New Job Updates Here
Also See: Other Government Jobs Here
Check Out Other Jobs in Manyara Region Here
The deadline for submitting the application is 3rd February 2022 at 15: 30 EAT/ TZ TIME.