Stanbic Bank Tanzania is launching an exciting business competition targeting small and medium enterprises (SMEs). The bank is specifically on the lookout for unique and innovative businesses/entrepreneurs that improve the sustainable development and well-being of local communities.
---------------------------------------------------------------------------------------
Stanbic
Tanzania inafuraha kuzindua mashindano ya kibiashara yanayolenga
mashirika madogo na makubwa. Benki ya Stanbic iko mbioni kutafuta mawazo
ya kibiashara au wajasiriamali wenye mawazo ya kipekee na yenye ubunifu
utakaoleta maendeleo endelevu na ustawi katika jamii zinazo wazunguka.
Fill in the Registration Form at / Jaza fomu ya kushiriki kupitia: https://stanbictanzania.typeform.com/to/Y6aosQl3
Click Here to Join us on Telegram for Instant Opportunities Updates.