Swahili Version
Kate&Beauty Cosmetics ni kampuni iliyopo Dar es Salaam
inayojishuhulisha na utengenezaji wa vipodozi mbalimbali kama vile;-
Whitening products, Skin nourishing products, Baby oil na vipodozi
vingine.
Inapenda kutangaza nafasi za kazi 4 (Nne) , kwa vijana wa
kitanzania wenye sifa zifuatazo;-
-Muombaji awe mtanzania
- Muombaji awe na umri kwanzia 18 – 45 (jinsia
zote/dini zote)
-Muombaji awe mzoefu katika katika masuala ya mauzo na masoko
-Muombaji awe mchapakazi
- Elimu kuanzia kidato cha nne na kuendelea
-Maombi yatumwe moja kwa moja kupitia barua pepe catherine.mtana@gmail.com
whatsApp
namba +255692956210 Bofya Hapa.
Mwombaji atume CV pamoja na kitambulisho cha
kuzaliwa au kitambulisho cha taifa (NIDA).
Mwisho wa kutuma maombi ni
tarehe 21/12/2021, 2359hrs
Kwa mawasiliano zaidi +255 692 956 210/ +255
762 066 385.
English Version
Kate & Beauty Cosmetics is a Dar es Salaam-based company engaged in the manufacture of various cosmetics such as; - Whitening products, Skin nourishing products, Baby oil and other cosmetics.
The Company would like to advertise 4 (Four) job vacancies for Tanzanian youth with the following qualifications;
-The applicant must be Tanzanian
- The applicant must be 18 - 45 years old (all genders / religions)
-The applicant must be experienced in matters of sales and marketing
-The applicant must be a Hard Worker
- Education Level - Form 4 and Above.
-Applications should be sent directly via email catherine.mtana@gmail.com
WhatsApp number +255692956210 Tap / Click Here
Applicant to submit a CV along with birth certificate or National Identity Card (NIDA).
For more information +255 692 956 210 / +255 762 066 385.
The deadline for receiving Applications is 21/12/2021, 2359hrs