Ticker

Welcome

MAFUNZO YA GRADUATE WITH PLAN B IN MIND MOVEMENT - NO ENTRY FEE




WANAFUNZI WA VYUO WANA CHANGAMOTO YA KESHO ZAO

MIAKA YOTE WANASOMA ELIMU AMBAYO HAWAFANYI WAJITEGEMEE INAWAFANYA WAWE TEGEMEZI  GHAFLA WANAAMBIWA WAJIAJIRI ILA UKWELI NI KWAMBA SKILLS ZINAZOHOTAJIKA KUJIAJIRI HAWAJAFUNDISHWI NA HAWAJUI WAFANYEJE

Ungana nami katika kufundisha skills zinazotakiwa kufanikiwa duniani kwa vitendo katika GRADUATE WITH PLAN B IN MIND MOVEMENT

Recommended for you: Get the Latest & New Job Updates Here   

We tap into your future!!!

SKILLS ZA KUJIAJIRI NI
1:SELLS(KUUZA)
2:CONFIDENCE(KUJIAMINI)
3:TEAM BUILDING(KUJENGA TIMU)
4:COMMUNICATION(KUJIELEZEA NA UKAELEWEKA KWA WENGINE)
5:RECRUITING(KUJOIN WATU KWENYE MOVEMENT YAKO)
6:GOAL SETTING(KUWEKA MALENGO)
7:VISION(KUKUZA MAONO YAKO)
8:DREAM CASTING(KUIJUA NA KUIFUATA NDOTO YAKO)

KWELI ELIMU NINUFUNGUO WA MAISHA SWALI JE NI ELIMU GANI HASA INAYOONGELEWA HAPO???????????


Mawasiliano: Jastini 0762321378

Recommended for you: Get the Latest & New Job Updates Here